Sunday, August 21, 2011

PUNYETO: FAIDA NA MADHARA YAKE

Punyeto

Ni nini?

Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.

Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.

Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi kama utatumia njia mbali mbali za kujitomosa na kujipa papasa ya kujistarehesha.

Hakuna mtu anayezaliwa akijua jinsi mwili wake unavyoitikia msisimko wa kimapenzi. Inakubidi kujifunza kwa majaribio salama.

Na, kwa vile kila mtu yuko tofauti, njia nyengine ya kujua jinsi unavyoweza kumstarehesha mpenzi wako, ni kujifunza kutoka kwako mwenyewe.

Shughulika zaidi na sehemu ambazo zinasisimka kwa urahisi.

Unaweza kufikia kilele cha starehe yako kwa kuitomasa tomasa mboo au kisimi, lakini kutakupa hamu kubwa na ashiki, na kufikia kutoshelezwa vya kutosha, kama utapapasa pia sehemu nyenginezo za mwili wako.

KWA NINI PUNYETO HUONEKANA KUWA MAKOSA?

Msimamo wa dini nyingi na watu wengi ni kuwa punyeto ni dhambi, mwiko, jambo lililokatazwa, jambo lisilokubalika kabisa.

Lakini wanasanyansi wanasema ni jambo salama kiafya na dhana zilizopo kulihusu, ni imani za kibinafsi na chaguo la mtu.

Wanaume wengi na wanawake hupiga punyeto maishani mwao, kwa sababu huwafanya wakajisikia vizuri na huondoa dhiki za mihemko ya kimapenzi bila kujiingiza katika ngono na mtu mwengine.

Pia hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ikiwemo virusi vya HIV ni kichocheo tosha kinachopelekea baadhi ya watu kupiga punyeto.

FAIDA ZA KUPIGA PUNYETO.
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)

2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.

3)Kujua "vipele vyako viliko".

4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.

5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

Hizi ni baadhi tu ya faida zipo faida nyingi.

Pamoja na faida hizo vivle tukiangalia upande mwingine wa shilingi tunayaona haya hapa chini.

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO.

Ifahamike kuwa kuna watu wengi sana wanatumia mikono yao kujisaga katika sehemu nyeti, Jambo hili linamadhara makubwa sana kwa binaadamu, Jambo hili kwa lugha ya kiingereza wanaliita Masturbution, ni kitendo cha mwanaume kujisugua tupu zake.



Licha ya tafsiri ya punyeto kuwalenga wanaume zaidi lakini katika mada yangu ya pili nitaelezea Usagaji na madhara yake kwani hili linahusu wanawake na hili la usagaji linaingizwa na punyeto kwani madhara yake yanakaribiana lakini tofauti inakuja jinsi ya kujirizisha.



Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.



Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa khasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.



Jambo jingine hatari linalo mkabili mpiga Punyeto ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mwanamke faraghani.



Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.



Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.



Hii yote madhara ya hapa duniani lakini kwa Mungu ni mwisho wa hisabu kwani ''Amelaaniwa mtumiaji mkono kwa kujisugua uume wake(Punyeto)


Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos kunaweza sababisha kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea "dubwana" hizo, kifo kutokana na "shock" ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha "dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo" kuingia.


kujichua kupita kiasi kunaweza kusababisha kupoteza hisia uume halisi.


36 comments:

  1. je mpiga punyeto atafanya nini ilinguvu za kiume zirudi katika hari nzuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. da sina usemi mungi ani ni suru kwa kujichua anisamee

      Delete
  2. Utakapoacha kupiga punyeto nguvu zako zitarudi bila tatizo lolote, pia utawasiliana na wataalamu wa afya watakushauri namna ya kufanya mazoezi na ww kurudi katika hali yako ya mwanzoni.

    Ahsante sana kwa mrejesho.

    ReplyDelete
  3. Mimi ni muathirika mkubwa wa punyeto, tena kwa muda murefu. swali langu: Je ninaweza kurudia hali ya kawaida ikiwa nitaacha kabisa punyeto?

    ReplyDelete
  4. Vyakula gan vizur kw ajili ya kurejesha nguvu za kiume?

    ReplyDelete
  5. Najua Vijana weng wanakubwa na tatizo hli na kushidwa kuacha kabisa, kwan huwa imemletea effect kisaikolojia, hvyo basi mbinu hizi zinaweza kumsaidia kuacha punyeto hvyo bas anaweza:~,
    ~kujishughulisha na kazi mf. kulima, kufua kufanya usaf n.k
    ~unapojiwa na mawazo hayo kutana na marafki kupga story mbl tatu bdala ya kukaa lonely
    ~jishughulishe na mazoezi {michezo} pale ambapo huna kazi mf. jion itakusaidia kupoteza mawazo utakua umechoka kinachobk kuoga kula kulala huna muda tna wa kufanya huo ujinga
    ~acha kuangalia na kudownload porn video(x) kwan ni kichocheo kikubwa
    ~story za kitandan (mapenz) kwenye mitandao ya kijaamii sio mzur, ni kichocheo pia
    >usikae bure ukiwa mwenyewe
    ni hayo kama kuna lingne unaweza ongezea all the best, acha punyeto , utunze ujana wako...

    ReplyDelete
  6. kwa wote wanahitaji namna ya kujikwamua kutoka katika kuangalia picha za ngono, masturbation na kurudisha uume na nguvu za kiume katika hali hakisi ya mwanzo kwa kutumia vyakula na ushauri, tuwasiliane kupitia ushaurinasaha18@gmail.com

    ReplyDelete
  7. kwa wote wanahitaji namna ya kujikwamua kutoka katika kuangalia picha za ngono, masturbation na kurudisha uume na nguvu za kiume katika hali hakisi ya mwanzo kwa kutumia vyakula na ushauri, tuwasiliane kupitia ushaurinasaha18@gmail.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. SAMAHANI naomba nisaidie kuhusu namna ya kurudisha hali ya kawaida, kwn nilijaribu mara chache lakini bado cjaona madhara ila nikikutana mpenzi wangu bao moja tu nakaa kama nususaa kuerect na kumwaga mapema nipe msaada

      Delete
  8. Kwa ushauri na njia za kupunguza na hatimaye kuacha kabisa kuangalia picha za PORNGRAPHY na kupiga punyeto au MASTERBATION kwa vijana wenzangu na pia namna ya kurudisha nguvu za uume zilizopungua ambazo hufanya umme kusimama kwa muda mfupi au kumwaga mapema kwa tiba mbadala, please tuwasiline ushaurinasaha18@gmail.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jee hamu ya. Punyeto ikikujia ucku wa manane kitu cha kufanya ili iweze kuondoka???

      Delete
    2. Amka chukua maji vikombe viwili kunywa urudi kulala

      Delete
  9. Kwa ushauri na njia za kupunguza na hatimaye kuacha kabisa kuangalia picha za PORNGRAPHY na kupiga punyeto au MASTERBATION kwa vijana wenzangu na pia namna ya kurudisha nguvu za uume zilizopungua ambazo hufanya umme kusimama kwa muda mfupi au kumwaga mapema kwa tiba mbadala, please tuwasiline ushaurinasaha18@gmail.com

    ReplyDelete
  10. Nini kitamfanya mtu aweze kucheza mechi mbili hadi tatu kwa kuunganisha, na sio kupumzika baada ya bao moja!

    ReplyDelete
  11. Asante nimejifunza mengi na anaepiga Mara 1 1 nae anaweza patwa tatz

    ReplyDelete
  12. Asante nimejifunza mengi na anaepiga Mara 1 1 nae anaweza patwa tatz

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yann aifai kityu kingine kinaweza saidia nikufanya maamuzi ya kuacha

      Delete
  13. Mi niliachana na hiyo tabia
    Unajua ni kupuzia tu kifanya mazoez na kutafuta dem wa kukupunguxia mzuka wa kupiga punyeto mi nnamwaka 1na miez 9 Leo

    ReplyDelete
  14. nsaidieni tafadhali. Nilianza hii punyeto nikiwa 17 na sasa niko 32. Nimesa jaribu kuacha lakini napata hapo tena. Nifanye nini. Call me hapa +254726102174. Asante

    ReplyDelete
  15. Pole ndugu yangu, nikumuomba mungu na kuchukua hatua tu,sanasana kuwa mbali na vichochez vyake kama x video na kuwangalia sana wanawake, one day utaacha tu, but make a reason first

    ReplyDelete
  16. Na ukiacha hauna tatizo lolote linalokupata pale unapokutana na mwenza?

    ReplyDelete
  17. punyeto sio nzury kiafya zaid.
    but its has some important to it.
    but try to avoid to do masterbation . because it has many negative effect than positive effect

    ReplyDelete
  18. Nini cha kufanya hamu ya punyeto ikikujia ucku wa manane uli uweze kupotezea hali iyo??? Me ni mgonjwa mkubwa wa usiku ila uwa naweza kuvumilia mpaka mwezi ila uwa napiga pale zinaponijia hisia za mwanamke flani nnayemtamanig

    ReplyDelete
  19. Madhara mengine ni kwa wanafunzi kupungukiwa na uwezo wao darasani[hupoteza kumbukumbu na uwezo wa kupambanua mambo ] ,hii hutokana na kutumia nguvu nyingi na mda katika zinaa(+punyeto).Hivyo wazazi wajitahidi kuongea na watoto katika umri wa kubaharehe.... TUNAPOTEZA VIJANA WENYE UWEZO MKUBWA AMBAPO WANGEKUWA MSAADA KWA TAIFA LA BAADAE

    ReplyDelete
  20. je madhara ntakayo yapata kwakupiga punyeto yanaweza Kutibika hospitali?

    ReplyDelete
  21. jamani kimsingi hilo swala kuliacha kuwa na hofu ya MUNGU

    ReplyDelete
  22. Je,mtu aliyepiga punyeto mpaka kuathirika kufikia hatua ya kushindwa kufika kileleni au kutoa shahawa kidogo anaweza kupata tiba na kurudi ktk hali yake ya kawida ?

    ReplyDelete
  23. Inawezekana kabisa kuacha kupiga punyeto bila kutumia dawa yoyote ile,kwa vijana wenye uhitaji ni Bure kabisa tuwasiliane kupitia afyatipsgospeal@gmail.com

    ReplyDelete
  24. Inawezekana kuacha kupiga punyeto kabisa my dear friend bila kutumia dawa yoyote ile na kurudisha uwezo wako kama zamani ni Bure kabisa wasiliana nami kupitia hiyo e-mail

    ReplyDelete
  25. Sio poa kupiga punyeto.
    Try to control your body - sexual desires utafanikiwa tu.

    ReplyDelete